About

Zanzibarofficial ni blog ilyoandaliwa kwa lengo la kupeana habari mbalimbali zinazojiri hapa nchini na kwengineko duniani.

Mmiliki wa blog hii ni binadamu kama binadamu wengine, kama ilivyo kawaida kwa binadamu kukosea ni jambo la kawaida.

Panapotokea makosa ni vyema kuambizana kwa lengo la kujengeana mustakbali mwema kwa faida ya wote.

Unaweza kuwasiliana na mmiliki wa blog hii ukiwa na ushauri ama maoni kwa mawsiliano yafuatayo:-

Mobile: +255653 673908 au +255774450487

Email:nassorkhamiskassim@yahoo.com

Ahsanteni.

Leave a comment